2013 Official Video Promo

2013 Documentary Film

 

Shukrani kwa kila mmoja wenu, wasanii, wafanya kazi, na hasa shukrani za pekee ziende kwa watizamaji ambao wameliwezesha tamasha la kumi kuwa ni mafanikio makubwa. Mipango kwa ajili ya tamasha la 2014 inaendelea, matumaini yetu mtaungana nasi kwa mara nyingine tena kama kawaida au ikiwa ndio mara yako ya kwanza kulitambua tamasha rafiki zaidi duniani

Kwa sasa hivi, furahia video iliopo hapo juu: Video fupi ya promo na video ya dakika 10 ya tamasha la toleo la 10, tunatarajia utapenda na tuonane mwakani

 

“ Nna shaka nahisi hakuna tamasha jengine duniani ambalo wanamuziki wa kiafrika wanapendwa mno... Sauti za Busara inakufanya kuamini juu ya umoja wa waafrika... tamasha hili lina upande mwingine wa Afrika unaokuletea vitu bora vya zamani na vile vizuri vya hapo baadae ambavyo vitakuwepo.”
                               (Elsie Eyakuze, The East African)

2012 festival audience pix

“Hutoa nafasi kwa wasanii na wataalam wa muziki kukutana na kujifunza, kuendeleza utamaduni, kutengeneza ajira kwa wenyeji na kuitangaza Zanzibar kama kitovu cha utalii, kuheshimu na kuthamini tamaduni za wenyeji”
                               Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi wa Tamasha

Facebook
timetabletimetable
Principal Donor
Norwegian Embassy
Main Donors
hivos
Donors
GoeTheInstiut
American Embassy
Embassy of Frince Allience of France Allience of France
Sponsors
Memories logo
Zanzibar unique
Zanzibar unique
Precision Air
ChemiCotex
Azam Marine