carnival street parade

 

facebookyoutubeyoutube

English version

Maandamano ya aina yake ndani ya Zanzibar!

Alhamisi tarehe 9 februari 2012

Hii ni fursa ya kipekee kwa wasanii, wageni wa kimataifa na watu wa Zanzibar kuungana na kusheherekea muziki kutoka sehemu mbalimbali ya Afrika Mashiriki.
Maandalizi ya maandamano huwa makubwa zaidi, yatakuwa na vikundi zaidi ya ishirini kutoka Zanzibar ikiwemo brass bands, sound systems, drummers, clowns, mwanandege, wachezaji, stilt-walkers, capoeira, fire eaters, wachezaji wa sarakasi na vyinginevyo.
Pamoja na hayo, ushiriki wa shule za Zanzibar, NGO’s na taasisi za serikali huitajika ili kuthibitisha mseto wa utamaduni na umoja uliopo Zanzibar nzima ukisheherekewa.

Beni brass band lead the way

Njia

Maandamo yataanzia Michenzani katika Viwanja vya Kisonge. Yatapita katika viwanja vya Malindi na kuelekea Bandarini. Yatamalizikia Mji Mkongwe katika ukumbi wa Ngome Kongwe na kuwa tayari kwa maonyesho ya muziki ya siku nne.
Saa 10:00 jioni – Viwanja vya Kisonge
Saa 10:30 joini – yanaondoka
Saa 11:00 joini- yatasimama Viwanja vya Malindi
Saa 11:30 jioni- yanaondoka
Saa 12:00 jioni- yatafika Ngome Kongwe

Angalia ramani kwa ukubwa Sauti za Busara 2012 - Carnival Street Parade Route


Ushiriki ni bure na kila mtu anakaribishwa kushiriki pale yatapoanzia au njiani. Ni njia pekee moja wapo ya kulitambulisha tamasha nje ya Mji Mkongwe.

Carnical Parade Around Stone Town - Zanzibar Carnical Street Parade