|
Habari hii itatumwa kwa watu 52,483 waliojisajiri
|
|
|
|
|
Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz |
|
|
 |
|
|
|
|
|
|
Wasanii waliohakiki SzB 2012 |
Top |
|
Toleo la 9 la tamasha la muziki la Sauti za Busara music litafanyika ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar kuanzia Jumatano tarehe 8 – mpaka Jumapili 12 Februari 2012. 100% LIVE Muziki wa Afrika chini ya Anga la Afrika.
|
Hawa ni baadhi ya wasanii utakao waona katika jukwaa letu Februari.
Ratiba inaweza kubadilika. Angalia www.busaramusic.org/festivals/2012 Kwa maelezo zaidi kuhusu wasanii na matukio. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Maandamano ya Ufunguzi |
Top |
|
 |
Maandamano MAKUBWA ya ufunguzi wa tamasha Zanzibar.Usikose katika Maandamano ya Ufunguzi wa Tamasha, Alhamis tarehe 9 Februari kuanzia saa 10:00 jioni (masafa kiasi 2km)
Kuanzia: Kisonge (Michenzani), 10:00 jioni
Kunalizika: Ngome Kongwe (Mji Mkongwe), 12:00 jioni
Itatumbuizwa na bendi beni brass, wapiga ngoma, wanawake wanaotembea na miamvuli mwanandege, Ngongoti, sarakasi na vitu vingine vingi vya kuvutia. Kila mmoja anakaribishwa kushiriki katika maandamano haya ambayo yatakufanya uuone Mji Mkongwe na maeneo mengine yaliyoizunguka. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Katika kipindi cha tamasha mji mzima wa Zanzibar unakuwa na burudani tofauti za ziada (busara xtra) matukio mbalimbali ambayo zitakupa fursa ya kufurahia uwepo wako zanzibar. Ngoma na wapiga ngoma aina mbalimbali, maonyesho ya mavazi, mashindano ya ngalawa na mazoezi ya kikundi kikongwe cha taarab kutoka Zanzibar.
Hii ni nafasi pekee kwa wenyeji kuandaa matukio tofauti na tunasaidia kueneza taarifa.
Tupe taarifa ya shughuli ya tukio lako nasi tutatangaza kwenye program yetu. Kwa maelezo zaidi angalia Busara Xtra.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
 |
|
Ni muda wa kuwa tayari kwa safari yako ya Zanzibar. Kwa taarifa zaidi tembelea kwenye kurasa yetu ya Visitor Info ili urahisishe safari yako na kupata punguzo.
Songlines Festival Tours (Ulaya) au Zanzibar Festival Tours (Amerika ya Kaskazini) wanaweza kukusaidia kwa safari za kimataifa zinazohusu matamasha.
Kwa mahitaji yako ya hotel Zanzibar, tunapendekeza Tabasam Tours |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Ngome kongwe ina idadi maalum ya watazamaji. Ili kuwa na uhakika wa kuwepo katika tamasha tunapendekeza ununue pasi yako ya tamasha zima mapema na kabla ya mwezi wa kwanza. Utakaponunua pasi yako ya tamasha zima utapata zawadi ya program ya tamasha.
Wekesha tiketi yako hapa :ZANZIBAR-ISLANDS.COM
|
|
|
|
|
|
|
|
|
.jpg) |
Kipindi cha tamasha kuna maduka yanakodishwa ambayo utatumia kuonyesha na kuuzia bidhaa zako kwa kipindi chote cha tamasha. Kuna watu zaidi ya 20000 wanatembelea tamasha ngome kongwe.
Kama una bidhaa unataka kuuza kipindi cha tamasha, wasiliana nasi kwa busara@busara.or.tz, wekesha nafasi yako kabla ya tarehe 31/12/2011. Kwa maelezo zaidi kuhusu maduka tembelea hapa. |
|
|
|
|
|
|
|
|
Kuwa rafiki wa Busara |
Top |
|
Je ungependa kulisaidia tamasha ili liweze kuwafikia watamazamaji wengine wapya?
Tunatoa ofa kwa wafanya biashara kuweka nembo zao na tovuti zao kuonekana katika mtandao wetu ambao unatembelewa mara 1.7million kwa mwezi.
Huu ni muda wa biashara yako kulisaidia tamasha la muziki la Afrika Mashariki ili ujumbe wako uweze kufika kwa watu wote wapenda muziki, wanautamaduni, watu wa usafiri na wataalam wa sanaa kutoka duniani kote.
Kwa maelezo zaidi na jindi ya kushiriki tembelea Friends of Busara
|
|
|
|
|
|
|
|
LIKE busara kwenye facebook |
Top |
|
 |
Ungana nasi katika familia, tutembelee katika facebook ukurasa wa wasanii wa 2012 na video zao na mambo mengine ya kuvutia katika sayari ya Busara.
Hii si “KUPENDA” – onyesha UPENDO wa dhati katika facebook. |
|
|
|
|
|
|
|
|
Shukrani kwa wadhamini na wafadhili |
Top |
|
Waandaaji wa tamasha wanapenda kutoa shukrani zao za dhati, maono na msaada kutoka kwa wadhamini na wafadhili wetu kwani bila ya hawa Sauti za Busara isingekuwepo. Katika hatua hii ya maandalizi, bajeti na maandalizi yote yanatunyima usingizi. Tumepokea ahadi chache kutoka kwa watu wanaotusaidia na bado tunahitaji msaada zaidi ili kila kitu kiwe 100% kuthibitishwa.
Hadi sasa Sauti za Busara 2012 imedhaminiwa na:
Principal Donors
|
|
Main Donors
|
|
Sponsors
|
|
Donors
|
|
|
Media Partners
|
|
|
Shukrani kwa:
SMOLE II, Zanlink, Azam Marine, Embassy of France, Ultimate Security, Multi-Color Printers, Tabasam Tours, Emerson Spice, Monsoon Restaurant, Mercury's, Archipelago Restaurant, Stone Town Café, www.zanzibar.net
Kama ungependa nembo yako kuwa katika tovuti yetu na muendelezo wa habari, bonyeza hapa |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|