jarida hili linaenda kwa watu 67,700

Soma jarida lako , browser

Usijibu kwenye anuani pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana, tafadhali tumia busara@busara.or.tz

Sauti za Busara Newsletter

Soma jarida hili kwa:         English        Francais

SzB fROOTS ad
Festival audiences
African Music Under African skies

Sauti za Busara ni moja ya matamasha bora Afrika. Limejumuishwa katika CNN International ‘Matamasha 7 ya muziki Afrika unayotakiwa kushuhudia ’, ni maarufu na watu ndani ya nchi na huvutia wageni kutoka mabara yote.

Sauti za Busara huleta watu pamoja kusherehekea Muziki wa kiAfrika. Tamasha la 12 litafanyika mji Mkongwe, Zanzibar mwezi wa Februari 12 – 15, 2015. Dhima ni AMANI & UMOJA, kukiwa na mlengo maalum kwa muziki wa Tanzania

SzB 2012 official video
Sauti za Busara 2012 Official video

SzB More than a festival (2012)
SzB More Than a Festival (2012)

SzB 2013 (Official)
Sauti za Busara 2013 (Official)

Kukiwa na steji mbili zitakazoonesha vipaji vinavyochipukia pamoja na wasanii wenye majina makubwa, wanamuziki kutoka Tanzania tayari waliokwisha thibitisha kushiriki Sauti za Busara 2015 ni pamoja na:

Culture Musical Club, Mim Suleiman, Msafiri Zawose, Weusi, Leo Mkanyia & Swahili Blues Band, Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta, Mgodro Group, Zee Town Sojaz, Rico Single & Swahili Vibes, Ifa Band, Mwahiyerani, Tunaweza Band, Mabantu Africa, Cocodo African Music, Kiki Kidumbaki, DCMA Young Stars, Shirikisho Sanaa Group, Babawatoto Centre na wengine zaidi.

Wakiwakilisha Kenya watakuwepo Octopizzo, Sarabi na Bonaya Doti. Pia atakuwepo Liza Kamikazi and band kutoka Rwanda

Wasanii wote watatumbuiza live (sio ‘playback’). Bofya katika link kwa ajili ya vipande vya video, wasifu wa wasanii, picha na zaidi.

Wasanii wa SzB 2015

2013
Culture Musical Club (Zanzibar)


Mim Suleiman (Zanzibar/UK)

Msafiri Zawose
Msafiri Zawose (Tanzania)

Octopizzo and band
Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar)

Octopizzo and band
Octopizzo and band (Kenya)

Sarabi
Sarabi (Kenya)

Octopizzo and band
Bonaya Doti (Kenya)

Octopizzo and band
Liza Kamikazi and band (Rwanda)

100% live

 

Tazama tovuti ya tamasha kwa ajili ya habari mpya kuhusiana na wasanii wakubwa pamoja na wakimataifa, ambao watahusisha wasanii wa juu kutoka South Africa, Angola, DRC, Rwanda, Mali, Senegal, Madagascar, Comoros na visiwa vya Reunion.

“All-Festival Passes” zipo kwenye bei ya punguzo sasa, huku ukiweza kuwekesha moja kwa moja kutoka mtandandaoni. Punguzo la asilimia 20 lipo hadi kufikia mwisho wa mwezi Novemba. Nafuu ya bei zinatolewa kwa ‘wenzetu’, raia wa Tanzania na wenyeji wa Afrika Mashariki.

Tazama viungo vifuatavyo kwa taarifa zaidi:

Wito wa Filamu za Muziki wa kiAfrika: tarehe ya mwisho 30 Novemba
Kutembelea Zanzibar: kwa vidokezo vya safari ya ndege, boti, ramani, malazi na mengineyo
Nafasi ya Kazi: Press Coordinator :tarehe ya mwisho 1 Novemba
Ungana na Timu ya Wafanyakazi: una ujuzi na uzoefu? Karibu sana!
Kibali kwa Vyombo vya Habari: Tarehe ya mwisho 19 Disemba
Kua Rafiki wa Busara
Tangaza katika Programu ya Tamasha: Tarehe ya mwisho wa kupokea artwork: 19 Disemba 2014
Vibanda na Wafanya biashara: : Mwisho wa kubuku na malipo: 19 Disemba 2014
Busara Xtra: Andaa tukio katika kipindi cha tamasha na tutakusaidia kusambaza ujumbe!

Sauti za Busara 2015 inapewa nguvu na:

DONORS

Hivos

SPONSORS

Zanlink Maru Maru

PARTNERS

fROOTS CEFA TZwomex

... na pia shukrani ziende kwa:

www.zanzibar.net, Embassy of France, Mehta's Hospital, Southern Sun DSM, Zanzibar Grand Palace Hotel na Marafiki wa Busara

Wahisani, wafadhili na wadhamini wa tamasha wengi zaidi watatajwa kwa mapana na kwa vifijo katika miezi ijayo.

Tazama tovuti yetu mpya: ni freshi na rahisi kutumia kwa vifaa vya mkononi wka wapenda muziki wenye kutembea tembea!

SzB Logo

Wasiliana nasi

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tupo njia iendayo uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

Tafadhali peleka/sambaza jarida hili kwa watu ambao watavutiwa. Ili ku kujiunga au kujitoa katika jarida hili, andika tu email yako ndani ya boksi katika www.busaramusic.org