jarida hili linaenda kwa watu 69,075

Soma jarida lako browser

Usijibu kwenye anuani pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana, tafadhali tumia busara@busara.or.tz

Sauti za Busara Newsletter

Soma jarida hili kwa: English / Français

 

Soma jarida lako kwenye browser

Sauti za Busara festival: mwezi mmoja umebakia!

Festival Poster
Festival audiences
Full mzuka

Sauti za Busara, aka tamasha rafiki zaidi duniani, litasambaza ujumbe wa amani na umoja katika toleo lake la 12 litakalofanyika Zanzibar mnamo Februari 12 – 15. Kama kawaida, tamasha litajenga hali ya kuthamini utajiri na utofauti wa muziki kutoka Afrika Mashariki na kwingineko.

Orodha ya mwisho ya wasanii watakaoshiriki ni pamoja na   Blitz the Ambassador (Ghana / USA),   Alikiba (Tanzania),   Octopizzo and band (Kenya),   Ihhashi Elimhlophe (South Africa),   Tcheka (Cape Verde),   Sarabi (Kenya),  The Brother Moves On (South Africa),   Culture Musical Club (Zanzibar),   Ahamada Smis ‘Origines’ Trio (Comoros / France / Zanzibar),   Mim Suleiman (Zanzibar / UK),   Isabel Novella (Mozambique),   Msafiri Zawose (Tanzania),   Aline Frazão (Angola),   Tsiliva (Madagascar),   Leo Mkanyia and the Swahili Blues Band (Tanzania),   Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar),   Thaïs Diarra (Senegal / Mali / Switzerland),   Liza Kamikazi and band (Rwanda),   Erik Aliana (Cameroon),   Bonaya Doti (Kenya),   Mpamanga (Madagascar),   Mgodro Group (Zanzibar),   Djmawi Africa (Algeria),   Rico Single & Swahili Vibes (Zanzibar),   Zee Town Sojaz (Zanzibar),   Ifa Band (Tanzania),  Mwahiyerani (Tanzania),   Loryzine (Réunion / France),   Tunaweza Band (Tanzania),   Mabantu Africa (Tanzania),   Cocodo African Music (Tanzania),   Kiki Kidumbaki (Zanzibar),   DCMA Young Stars (Zanzibar),   Capoeira Brazil Zanzibar (Zanzibar),   Shirikisho Sanaa Group (Zanzibar),   Babawatoto Centre (Tanzania)  na wengineo.

2015
BLITZ THE AMBASSADOR (GHANA/USA)

ALIKIBA (TANZANIA)
Ihashi
IHHASHI ELIMHLOPHE (SOUTH AFRICA)
Tcheka
TCHEKA (CAPE VERDE)

SARABI (KENYA)

THE BROTHER MOVES ON (SOUTH AFRICA)

MIM SULEIMAN (ZANZIBAR/UK)

ISABEL NOVELLA (MOZAMBIQUE)

MSAFIRI ZAWOSE (TANZANIA)

ALINE FRAZ├O (ANGOLA)
Sarabi
TSILIVA (MADAGASCAR)
Octopizzo and band
THA¤S DIARRA (SENEGAL /MALI/ SWITZERLAND)
Octopizzo and band
ERIK ALIANA (CAMEROON)
Octopizzo and band
DJMAWI AFRICA (ALGERIA)
Octopizzo and band
MWAHIYERANI (TANZANIA )
The last song before the war

Filamu Programme

Filamu ndefu za muziki wa kiafrika, fupi pamoja na vipande vya picha sauti vitasindikiza burudani ya muziki live. Eneo la Amphitheatre ndani ya Ngome Kongwe  hubadilika na kua sehemu ya sinema inayokusanya watu kutazama filamu kwenye skrini kubwa itakayoonesha filamu kama; The Last Song Before the War(Mali/USA), 100% Dakar (Senegali/Austria), Maramaso (Kenya) na uzinduzi wa filamu ya  I Shot Bi Kidude (Tanzania/UK), itakayoonyesha matukio ambayo ambayo hayajawahi kuonekana katika kurasa katika maisha ya mwisho mwisho ya mwanamuziki mkongwe kutoka Zanzibar. 

Hii apa ratiba ya tamasha kwa wasanii wote watakaoshiriki pamoja na filamu

SzB fROOTS ad

Dhima ya tamasha inaeleza kila kitu; Together as One: Amani Ndio Mpango Mzima, huku msisitizo mkuu ukiwa katika muziki wa Tanzania. Kama Mkurugenzi wa tamasha anavyosema ĹMuziki huwasiliana nasi sote, bila kujali umri, jinsia, lugha, dini au siasa. Unatufundisha kuheshimu na kuthamini utofauti wetu’

Festival audiences
Movers & Shakers

Wataalamu wanaungana katika Movers & Shakers

Sauti za Busara huvutia wataalamu katika muziki kuanzia Dar hadi Dakar. Movers & Shakers hutoa sehemu kwa wao kukutana pamoja, kubadilishana mawazo pamoja na kufahamiana. Jukwaa hili hufanyika kila mchana wa tamasha, huku kukiwa na mada kama; Music In Africa: kuongeza upatikanaji na mabadilishano, Music for Peace? na nafasi ya kukutana na wasanii shiriki wa tamasha uso kwa uso. Kama wewe ni mwanamuziki, meneja, promota, muandaaji wa tamasha, mwandishi wa habari au mtaalamu mwingine katika sanaa na ungependa kushiriki, tafadhali tuma barua pepe kwa linda@busara.or.tz kuomba mualiko..

Okoa 10% na Ofa ya Tiketi za Tamasha

Je upo tayari kuwa na tiketi yakomapema? Unaweza kuwekesha tiketi yako sasa kwa njia salama ya mtandao kabla ya tarehe 15 Januari na ukapata punguzo la asilimia 10 dhidi ya bei ya mlangoni.

Book Ticket

BEI NAFUU: Tiketi kwa Watanzania
Pasi ya TAMASHA ZIMA ukinunua kabla ya tarehe 15 January ni TSh 9,000/- tu!
Tiketi ya siku moja ni 3,000/- TSh
Kabla ya saa 11 jioni siku zote kiingilio ni BURE
Watoto chini ya miaka 12 wakiwa na mtu mzima kiingilio ni BURE.

Kwa taarifa zaidi kuhusu Sauti za Busara zikiwemo picha, video, uwasilishwaji katika vyombo vya habari na mengineyo, tazama www.busaramusic.org

Kutembelea Zanzibar: dondoo kuhusu safari za ndege, boti, malazi na mengineyo

Sauti za Busara inapewa nguvu na

WAHISANI

Norwegian EmbassyHivos

WADHAMINI

ZanlinkMaru MaruMaru Maru

WADHAMINI & WASHIRIKA

CEFA TZU.S. EmbassywomexwomexAMDPDCMAMusic in AfricaAzam Marine

WASHIRIKA WA HABARI

Music in AfricafROOTS

... na pia shukrani kwa:

www.zanzibar.net, Southern Sun DSM, Zanzibar Grand Palace Hotel, Alliance Française, Chuchu FM Radio, SMOLE II, Monsoon Restaurant, Mercury's Restaurant, Archipelago Restaurant, Doctor Mehta, Embassy of Germany, Embassy of France, Association Franco Zanzibarite (AFZ), Stone Town Café and Marafiki wa Busara

facebook like button

Wasiliana nasi

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tupo njia iendayo uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

Tafadhali peleka/sambaza jarida hili kwa watu ambao watavutiwa. Ili ku kujiunga au kujitoa katika jarida hili, andika tu email yako ndani ya boksi katika www.busaramusic.org