Soma Jarida hili kwa: ENG/FRA/SWA

Usijibu kwa kutumia barua pepe hii. Ili kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

Sauti za Busara 2019: Wito kwa Wasanii

Sauti za Busara 2018: United in Music

Shukrani kwa Wahisani & Wadhamini

Wasiliana nasi

Sauti za Busara 2019: Wito kwa Wasanii

Sauti za Busara 2019: Call for Artists

Tamasha lijalo la Sauti za Busara litafanyika kuanzia tarehe 7 – 10 February 2019.
Sauti za Busara 2019 kama kawaida yake litakutanisha vikundi mbalimbali vyenye kufanya maonyesho yake mubashara kwa asilimia mia na vyenye utambulisho halisi wa bara la Afrika. Wasanii kutoka Nchi za Kiarabu na ukanda wa bahari ya Hindi nao wanakaribishwa kufanya maombi.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31st July 2018. Kwa taarifa Zaidi na fomu ya maombi www.busaramusic.org/callforartists
Ribab Fusion (Morocco) at Sauti za Busara 2018 photo Markus Meissl
Day time audience at SzB2018 (photo Markus Meissl)
Venue branding daytime at Sauti za Busara 2018 photo Rashde Fidigo
Main venue at SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Ribab Fusion (Morocco) audience at Sauti za Busara 2018 (photo Peter Bennett)
Night time audience at SzB2018 (photo Peter Bennett)

Sauti za Busara 2018: United in Music

Kuanzia tarehe 8 -11 Februari 2018, watu kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika tena Mji Mkongwe, Zanzibar kusheherekea muziki wa Afrika. Mashabiki wa muziki wa Afrika takriban 10,000 wenye tamaduni, silka, rika na mataifa tofauti. Asilimia 56 kutoka Zanzibar na Tanzania kwa ujumla walijumuika na wageni kutoka Nchi nyingine mbalimbali za Afrika, Ulaya, Amerika, Asia na Australia. 

Sauti za Busara 2018 ilionyesha muziki bora wa Afrika ukiwa mubashara kwa asilimia mia. Katika jukwaa tatu tofauti tamasha liliweza kuonyesha wasanii wa kiutamaduni na wale waliochanganya vionjo vya kisasa kutoka Zanzibar na Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Afrika kusini, Zimbabwe, Malawi, Senegal, Nigeria, Morocco, Algeria, Misri and Uswizi.

Matukio mengine yalihusisha matembezi ya ufunguzi wa Tamasha (Carnival Parade), ‘Movers & Shakers’ kongamano la wadau mbalimbali wa tasnia ya Sanaa ya muziki likijuisha wasanii, waandishi wa Habari, Waandaaji wa muziki kutoka ndani na Nje ya Nchi, na Busara Xtra matukio mbalimbali yaliyoandaliwa na wenyeji.

Bofya hapa kupakua  ratiba ya tamasha la SzB 2018 (01/18, 8MB)
Bofya hapa kupakua ripoti ya SzB2018 (03/18, 4MB)
Bofya hapa kuona picha za SzB 2018

Mbanaye (Malawi) at SzB2018 (photo Peter Bennett)
Mbanaye (Malawi) at SzB2018 (photo Peter Bennett)
Carnival Parade Mwanandege (Umbrella) at SzB2018 photo Nayssa Said Photography
Carnival Parade Mwanandege (Umbrella) at SzB2018 (photo Nayssa Said Photography)
Zakes Bantwini (South Africa) at SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Zakes Bantwini (South Africa) at SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
CAC Fusion (Tanzania) audience Forodhani at SzB2018 photo Nayssa Said Photography
Forodhani audience at SzB2018 (photo Nayssa Said Photography)
Audiences at SzB2018 (photo Link Reuben)
Night audience at SzB2018 (photo Link Reuben)
Ribab Fusion (Morocco) audience at SzB2018 (photo Peter Bennett)
Main stage audience at SzB2018 (photo Peter Bennett)

Taarifa mbalimbali za Vyombo vya Habari

globalvoices

Dailnews

thecitizen

Zenji-fm

mwananchi

Take_a_stand

DAR LIFE

Dailnews

thecitizen

Zenji-fm

Sauti za Busara celebrates Africa's DNA
By Amanda Lichtenstein for Music in Africa, 13 February 2018 ... read more

East Africa holds its own at Busara 2018
By Iman Mani, Daily News 13 February 2018 ... read more

East African Women in the Music Industry Sing Out Against Male Domination
by Amanda Lichtenstein, Global Voices, 14 February 2018 ... read more

Sauti za Busara Festival Ended on Good Vibes...
By Salome Gregory, The Citizen, 12 February 2018 ... read more

How far will Emerson's vision take Zanzibar music?
by The Citizen, 23 February 2018 ... read more

At Sauti za Busara Festival, Music Professionals Ask: Can One Song Really Change the World?
by Amanda Lichtenstein, Global Voices, 20 February 2018 ... read more

Saida Karoli adhihirisha uwezo wa kulitawala Jukwaa
By Laila Sued February 11, 2018 ... soma zaidi

Zanzibar Taarab Ensemble (Zanzibar) at SzB2018 (photo Link Reuben)
Zanzibar Taarab Ensemble (Zanzibar) at SzB2018 (photo Link Reuben)
Fatma Zidan (Egypt - Denmark) at SzB2018 (photo Masoud Khamis)
Fatma Zidan (Egypt - Denmark) at SzB2018 (photo Masoud Khamis)
Somi (Uganda - USA) at SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Somi (Uganda - USA) at SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Segere Original (Tanzania) at SzB2018 photo Markus Meissl
Segere Original (Tanzania) at SzB2018 (photo Markus Meissl)
Venue branding daytime at SzB2018 photo Rashde Fidigo
Old Fort, Stone Town. Main venue for Sauti za Busara 2018 (photo Rashde Fidigo)
Carnival Parade Ngoma ya Kiumbizi (Kombeni Primary School Zanzibar) at SzB2018 photo Nayssa Said Photography
Carnival Parade (Kombeni Primary School Zanzibar) at SzB2018 (photo Nayssa Said Photography)

Shukrani kwa Wahisani na Wadhamini

http://www.norway.go.tz/ s Emb-Switzerland s Africalia s Memories of Zanzibar s Zanlink s Mozeti s 2Tech_Security s Coastal Aviation s Embassy of Germany s Zenji Digital Television s chuchu fm s ikala lodges s Emerson Zanzibar s ziff s DCMA s tif tv zanzibar s Music in Africa s fROOTS s womex s IOMMA s AFRIKAYNA and AAL s Alliance Francaise Dar. s marumaru s kendwa rocks s Golden tulip dar city center s TAKE A STAND s

Shukrani za pekee kwa wawezeshaji usafiri wa wasanii, vyombo vya habari, wafanyakazi na wadau wote waliwezesha tamasha kwa namna moja ama nyingine, bila ya kusahau Friends of Busara.

Angalia orodha nzima ya Wadhamini & Wahisani wa Sauti za Busara 2018

fb fb youtube flickr instagram

Mitandao ya kijamii /sautizabusara

Wasiliana nasi

Busara Promotions
P O Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

See you at the next edition!

Tuonane tena Tamasha lijalo!
7 – 10 Februari 2019

Tafadhali mtumie jamaa au rafiki ambaye anapenda kupata taarifa hii. Kwa kujisajiri au kujitoa kwenye Jarida letu la Busara www.busaramusic.org