Soma jarida hili kwa : ENG/FRA/SWA

Usijibu kwa barua pepe hii. Kwa kuwasiliana nasi tumia busara@busara.or.tz.Tafadhali unaweza kumtumia rafiki yako atakayependezewa..

Sauti za Busara 2019

Mwisho wa wito wa wasanii

Tiketi & Pasi

Nafasi ya Mafunzo

ZIFF 2018


Sauti za Busara 2019: postcard
100% LIVE

Sauti za Busara 2019

Waandaaji  kwa sasa wapo katika maandalizi ya tamasha la 16 la Sauti za Busara ambalo litafanyika Mji Mkongwe Zanzibar kuanzia tarehe 7 – 10 February 2019.

Orodha kamili ya wasanii na matukio kwa ujumla yatatangazwa mwezi wa kumi. Katika siku nne tamasha linakusudia kufanya:

  • Jukwaa 3: Wasanii 400, Vikundi 40, Shoo 44 and nights
  • Matembezi ya ufunguzi:Maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar na viunga vyake yatapambwa na vionjo vya mtembezi ya ufunguzi!
  • Swahili Encounters: Ushirikiano wa wasanii wa wenyeji na wageni
  • Movers & Shakers: Mazungumzo/ mkutano kati ya wataalamu wa tasnia ya sanaa ya muziki wa ndani na nje
  • Busara Xtra: Matukio mbalimbali yatakayoandaliwa na wenyeji

#SzB2019

Sauti za Busara 2019: Call for Artists
100% LIVE

Mwisho wa wito wa wasanii

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31 July 2018.
Angalia hapa fomu ya maombi

Kwa kukamilisha maombi yako kwa jopo letu la uteuzi, unatakiwa utume kazi zako/ nyimbo (Sauti: kwenye CD/MP3 na au Video: kwenye DVD/MP4) maelezo ya msanii/ kikundi, picha mbili (zenye uwezo) Maombi yatakayokamilika tu ndio yatapewa kipaumbele.

Sauti za Busara inaonyesha muziki wa laivu, muziki wa asili kutoka bara la Afrika na kwingineko. Wasanii kutoka Uarabuni na Ukanda wa bahari ya Hindi nao wanakaribishwa.

Festival_mood_SzB2018_photo_TAZaldc157ex-Markus_Meissl
Festival mood SzB2018 (photo Markus Meissl)
Saida_Karoli_(Tanzania)_SzB2018_photo_Ismail_Ali_Abeid_(Ishu)_IMG_8565_w
Saida Karoli (Tanzania) SzB2018 (photo Ismail Ali Abeid (Ishu))
Maia_&_the_Big_Sky_(Kenya)_SzB2018_photo_TAZalde023ex-Markus_Meissl
Maia & the Big Sky (Kenya) SzB2018 (photo Markus Meissl)
Mbanaye (Malawi) at SzB2018 (photo Peter Bennett)
Mbanaye (Malawi) at SzB2018 (photo Peter Bennett)
Maulidi_ya_Homu_ya_Mtendeni_(Zanzibar)_SzB2018_photo_Masoud_Khamis_IMG_9478_w
Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar) SzB2018 (photo Masoud Khamis)
Zakes Bantwini (South Africa) SzB2018 (photo Peter Bennett)
Zakes Bantwini (South Africa) SzB2018 (photo Peter Bennett)
Madalitso Band (Malawi) (photo by Birgit Quade)
Madalitso Band (Malawi) (photo by Birgit Quade)
Simba & Milton Gulli (Mozambique) (photo by Link Reuben)
Simba & Milton Gulli (Mozambique) (photo by Link Reuben))
Swahili Encounters (ZNZ Various) at SzB2017 (photo by Robin Batista)
Swahili Encounters (ZNZ Various) at SzB2017 (photo by Robin Batista)

Tiketi & Pasi

Tafadhali nunua pasi ya VIP ili kuonyesha sapoti yako kwa tamasha na kufanya Sauti za Buara iendelee.                                                                                                         
Punguzo maalum kwa Watanzania na wenye pasipoti za nchi za Afrika.

 

Supersaver
until 31 Oct only

  VIP Grand Stand

US$ 150

  Regular (International)

US$ 100

  All Africa (Citizens)

US$ 50

  East Africa (Residents)

US$ 50

  Tanzania (Citizens)

US$ 8 (19,000/- TSh)

  Children (up to 12, accompanied)

FREE

 

Tiketi na pasi za Tamasha litaanza kupatikana tarehe 1 Julai. Punguzo kubwa kabisa la asilimia 15 litapatikana mpaka tarehe 31 Oktoba pakee. Festival Tickets & Passes are available from Fri 1st July. The above Supersaver prices include 15% discounts and will be sold until 31 October only, subject to availability.
Kwa taarifa zaidi angalia tovuti yetu  tovuti, habari , picha  and video .

NAFASI YA KUTOA MAFUNZO KWA MIEZI 6

Tarehe ya kuanza: 1/09/2018


Busara Promotions inatoa fursa ya mafunzo kwa vijana wa kitanzania (wa kike/kiume) wanaopendelea kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu uandaaji na usimamizi wa matamasha.
Sifa za Muombaji: Lazima awe Mtanzania, umri kati ya miaka 18-30, anependa muziki, mtu anaejutuma.
Kwa maombi: Tuma barua kupitia barua pepe (safina@busara.or.tz) au unaweza kuwakisha maombi yako kwenye ofisi zetu zilizopo Maisara nyuma ya kiwanja viwanja vya golf.


Mwisho wa kupokea maombi 17/08/2018.

Siti & the Band (Zanzibar) SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Siti & the Band (Zanzibar) SzB2018 (photo Rashde Fidigo)
Sami Dan & Zewd Band (Ethiopia) (photo by Peter Bennett)
Sami Dan & Zewd Band (Ethiopia) (photo by Peter Bennett)
Ribab Fusion (Morocco) audience at Sauti za Busara 2018 (photo Peter Bennett)
Night time audience at SzB2018 (photo Peter Bennett)

Shukrani kwa wadhamini na wahisani

Busara Promotions inatoa shukrani za dhati kwa wahisani na wadhamini wote kwa kufanikisha Sauti za Busara 2018.

 

http://www.norway.go.tz/ s Emb-Switzerland s Zanlink s YOURLOGOCOULDBEHERE s YOURLOGOCOULDBEHERE s YOURLOGOCOULDBEHERE sikala lodges s ziff s DCMA ss Music in Africa s fROOTS s .osloworld

Busara Promotions
P O Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania
Find us off the airport road, Maisara Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

fb fb youtube flickr instagram

Like and follow /sautizabusara

Enjoy and share the Sauti za Busara official YouTube playlist

Tafadhali watumie marafiki zako ambao watapenda kujua pia. Ikiwa utapenda kupokea au ikiwa hutopenda kuendelea kupokea tena jarida hili, tafadhali andika anuani yako ya barua pepe kwenye kisanduku kilichopo www.busaramusic.org