Soma Jarida hili kwa : ENG/FRA/SWA

 banner

Usijibu kutumia barua pepe hii. Ili kuwasiliana nasi tuma barua pepe busara@busara.or.tz. Tafadhani mtumie rafiki yako anayependezewa..


 banner

Sauti za Busara 2019

Kila mwaka mwezi wa Februari,Tamasha la Sauti za Busara linatoa fursa adhimu kwa watu kutoka sehemu mbalimbali duniani kusheherekea muziki wa Afrika. Tamasha lijalo litatikisa tena kuta za Ngome Kongwe, Mji Mkongwe, Zanzibar kuanzia Alhamis 7– Jumapili 10 February 2019, likisheheni maonyesho 44 katika jukwaa tatu.
Orodha ya mwanzo ya wasanii ipo hapo chini na wengine wakiendelea kuthibitisha ushiriki wao. Tafadhali tembelea tovuti yetu kwa taarifa zaidi na za papo kwa papo kuhusu wasanii.

Mokoomba (Zimbabwe) - 'Masangango'
Mokoomba (Zimbabwe) - 'Masangango'
Afrigo Band (Uganda) – ‘Oswadde Nyo’
Afrigo Band (Uganda) – ‘Oswadde Nyo’
Fid Q (Tanzania) - 'Fresh'
Fid Q (Tanzania) - 'Fresh'
Fadhilee Itulya
Fadhilee Itulya (Kenya) – ‘Freedom’
Ifrikya Spirit (Algeria) – ‘Africa’ (live)
Ifrikya Spirit (Algeria) – ‘Africa’ (live)
Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar) – ‘Chungu’
Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar) – ‘Chungu’
S Kide ft. Man Doka Dulla Makabila (Tanzania) – ‘Team Wehu’
S Kide ft. Man Doka Dulla Makabila (Tanzania) – ‘Team Wehu’
M'Toro Chamou (Mayotte) - 'Radio Tranganika'
M'Toro Chamou (Mayotte) - 'Radio Tranganika'
Faith Mussa (Malawi) - ‘Mdidi’
Faith Mussa (Malawi) - ‘Mdidi’
Shamsi Music (Kenya) – ‘Murata’
Shamsi Music (Kenya) – ‘Murata’
Ithrene (Algeria) – ‘El Fouchi’
Ithrene (Algeria) – ‘El Fouchi’’
Sofaz (Reunion) – ‘Piton Doulèr’ (live)
Sofaz (Reunion) – ‘Piton Doulèr’ (live)

Orodha ya wasanii (orodha ya mwanzo na wengine watatangazwa )

Afrigo Band (Uganda)Mokoomba (Zimbabwe)Fid Q (Tanzania)Mkubwa na Wanawe Crew (Tanzania)Ifrikya Spirit (Algeria)Ithrene (Algeria)Fadhilee Itulya (Kenya)Tausi Women's Taarab (Zanzibar / Tanzania)Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar / Tanzania)Hoba Hoba Spirit (Morocco)M'Toro Chamou (Mayotte / Reunion)Sofaz (Reunion)Tune Recreation Committee (South Africa)Jackie Akello (Uganda)Shamsi Music (Kenya)Dago Roots (Reunion)Trio Kazanchis +2 (Ethiopia / Switzerland)Damian Soul (Tanzania)S Kide & Wakupeti Band (Tanzania)Faith Mussa (Malawi)Lydol (Cameroon)Stone Town Rockerz (Zanzibar / Tanzania)Man Sulei Tara Jazz (Zanzibar / Tanzania)Wamwiduka Band (Tanzania)Eli Maliki (Uganda)...and more

https://youtu.be/TL8hlXTh1jw

60 sec promo video

100% LIVE

Tiketi & Pasi

Tiketi za Tamasha la Sauti za Busara 2019 zinapatikana kwa punguzo la asilimia 50% kwa wenye uraia wa Afrika na wakazi wa Jumuia ya Afrika Mashariki kwa kununua kwa njia salama mtandaoni. Punguzo lingine linapatikana kwa kila mtu mpaka tarehe 31 Oktoba!

Kununua tiketi na kuwekesha tembelea humu

www.busaramusic.org/festivals/tickets/

Click here to buy tickets

#SzB2019 s fb tw in/sautizabusara

Africa ‘50% off’ LOGO
I
Kwa WATANZANIA kiingilio ni CHEE!
Zanzibar sunset
Stone Town sunset by ASnyder
blue skies
Kizimkazi lone palm by Peter Bennett

Taarifa kwa wageni

Je ni mara yako ya kwanza kuja Zanzibar? tembelea Info for Visitors
Ili kufika Zanzibar
Tunapendekeza kampuni za hizi za ndege na boti ili kufika Zanzibar

Ethiopian Airlines

from Africa and beyond

Coastal Aviation

from Tanzania

Azam Marine

Dar to Zanzibar

Mabanda ya wafanyabiashara

Kuna nafasi chache zinapatikana kwa ajili ya wafanya biashara kukodi, ndani au nje ya Ngome Kongwe katika kipindi cha Tamasha.

Upendeleo utatolewa kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Mashariki ambao wanauza bidhaa nzuri na zilizotengezwa hapahapa kama Nguo, vinyago, muziki, vyakula na vinywaji.

Bofya hapa kwa fomu ya maombi ya wafanya biashara

Matukio mbalimbali ya tasnia ya muziki

ACCES Music in Africa Conference
ACCES Music in Africa Conference (Nairobi, Kenya) 15 - 17 Nov 2018
WOMEX World Music Expo
WOMEX World Music Expo (Gran Canaria, Spain) 24 - 28 Oct 2018

Wadhamini & Wahisani

Tunakusudia tamasha liwe kwa watu wote. Mauzo ya tiketi yanakidhi asilimia 30 ya ghamara za tamasha.

Tunatoa fursa za kimatangazo kwa wadhamini wa tamasha kama kwenye televisheni, Redio na vyombo vya habari vingine media coverage, promotion on YouTube, facebook, instagram na twitter, katika Jarida la tamasha na photo photo galleries, matangazo ndani ya Ngome Kongwe, ukumbi wa mikutano na waandishi wa habari, ikiambatanishwa na tiketi za bure kwa wafanyakazi na wateja.

Kwa mahitaji yako ya paketi yetu ya udhamini, tafadhali wasiliana na Meneja wa Tamasha: journey@busara.or.tz

Shukrani zetu za dhati kwa wadhamini na wahisani wetu wote kwa kuendelea kusaidia Sauti za Busara 2019:

http://www.norway.go.tz/ s Emb-Switzerland
Zenji_FM_96.8 s Zanlink s Memories-of-Zanzibar s YOURLOGOCOULDBEHERE s Emerson Zanzibar s Embassy of France s Embassy of Germany s Ethiopian Airlines s ziff s DCMA s fROOTS s womex_18 s Music in Africa s YOURLOGOCOULDBEHERE s YOURLOGOCOULDBEHERE s IOMMA s Alliance Francaise Dar s .osloworld s Taperia Wine & Tapas Bar

 


Busara Promotions
P O Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania
Find us off the airport road, Maisara Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

fb fb youtube flickr instagram

Like and follow @sautizabusara

Enjoy and share the Sauti za Busara official YouTube playlist

Tafadhani mtumie rafiki yako anayependezewa. Kujiunga au kujitoa katika jarida letu, ni rahisi weka barua pepe yako katika boksi kupitia www.busaramusic.org