JARIDA Usijibu kwa kutumia barua pepe hii. Ili kuwasiliana nasi tafadhali tumia [email protected]
Dirisha la upokeaji wa maombi ya wasanii kwa ajili ya tamasha lijalo la Sauti za Busara lipo wazi, tamasha litarindima katika viunga vyetu vya Mji Mkongwe, Zanzibar kuanzia tarehe 11 – 13 February 2022.
Sauti za Busara huonyesha muziki anuai kutoka katika Bara la Afrika. Wanamuziki kutoka nchi za kiarabu nao wanakaribishwa kufanya maombi ya ushiriki. Mwisho wa upokeaji maombi ni tarehe 31st July 2021.
Vipaumbele vitatolewa kwa:
Music In Africa is the leading information and exchange platform for African artists. To enhance applications, we recommend all African musicians also use this platform to upload their profiles and keep these updated regularly. Register here to upload your profile to Music in Africa website.
Maombi ya Sauti za Busara 2022 yanaendelea kupokelewa mpaka tarehe 31st July 2021. Kwa taarifa zaidi na link ya fomu ya maombi https://www.busaramusic.org/call-for-artists-2022/
Sauti za Busara 2021 highlights (official, 15m) Alive & Kickin’ at Sauti za Busara 2021! Relax, rewind and relive the vibes right here with (in order of appearance) #TofaBoy (Zanzibar), Siti Muharam (Zanzibar); Maembe Vitali (Tanzania); Richie Lumambo (Tanzania); Sandra Nankoma (Uganda); Barnaba Classic (Tanzania); DJAM (Algeria); #ShaboMakota (Tanzanie); Zenji Boy (Zanzibar); TaraJazz Zanzibar; Stone town Rockerz (Zanzibar); Msafiri Zawose (Tanzania); Morena Leraba (Lesotho); #DullaMakabila (Tanzania). Dulla Makabila Tanzania Audiences at SzB 2021 photo (by Link Reuben) Vitali Maembe Tanzania Audiences at SzB 2021 (by Link Reuben) Sauti za Busara 2021 audience (photo Lorenzo Maccotta)
Sauti za Busara 2021: Zanzibar review – 2500 gather to celebrate music unlocked
By The Arts Desk, 19 Feb 2021 “Zanzibar, are you ready?” yells the singer from the stage.There’s a huge cheer. It seems the crowd – and it is a crowd – is certainly ready. In shades, a flat cap and dreadlocks down his back, singer Barnaba Classic is on stage at Zanzibar’s Sauti za Busara festival. Over from Dar es Salaam, Barnaba is a big star in Tanzania and is headlining the festival’s first night after seven hours of music. … read more Sauti za Busara 2021: Organisers pull off successful fest amid challenging times
By Music in Africa, 17 Feb 2021t East Africa’s favourite festival Sauti za Busara was held at the historic Old Fort in Stonetown, Zanzibar, on 12 and 13 February. It brought together artists from South Africa, Algeria, Uganda and Tanzania for a weekend of eclectic performances under the theme, Alive & Kickin …read more Sauti za Busara 2021: Messages of hope as Sauti za Busara reaches climax
The Citizen, 15 February 2021 Zanzibar. The 18th edition of the Sauti za Busara came to hilarious climax on Saturday night after two days of performances that brought life to the Old Fort and Stone Town. Featuring an array of artistes who were performing for the first time on the iconic stage, the festival brought back distant memories of pre-pandemic years when the setting was a melting point of African culture. Singeli artist Dullah Makabila was a special attraction as he got the audience dancing to the final climax … read more
Contact Busara Busara Promotions
Tel: +255 24 223 2423 Tafadhali tuma jarida hili kwa marafiki watakaopenda. Kujisajiri au kujitoa kwenye jarida la Busara, andika barua pepe yako katika kiboksi www.busaramusic.org |