January 27th 2022 MST
** *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI* *Wanamuziki ambao hutakiwi kuwakosa katika Tamasha la Sauti za Busara 2022* *January 28. *Tamasha la Sauti za Busara kwa miongo miwili iliyopita limekuwa na rekodi ya kuvutia ya kuonyesha vipaji vya baadhi ya wanamuziki wa Afrika katika tamasha hilo la kila mwaka ambalo limekuwa likifanyika tangu mwaka 2004. Tamasha la mwaka huu linalokwenda na kauli mbiu isemayo /“Paza Sauti: Uwezeshaji wa Sauti za Wanawake kusikika,”/ litafanyika Ngome Kongwe, Zanzibar kuanzia Februari 11 h ...Continue Reading
This mailing list is announce-only.
Orodha hii ya kutuma barua imekusudiwa tu kueneza habari zinazohusu Tamasha la Sauti za Busara kwa vituo au vyombo vya habari
Sera faragha ya, Busara Promotions Press : Barua pepe zote katika orodha hii itatumika kwa madhumuni ya kukujuza shughuli zote zinazoendelea Busara Promotions. Hazitatolewa wala kupewa mtu mwingine au taasisi yeyote.