Usijbu kwa kutumia barua pepe hii. Wasiliana nasi kwa [email protected]. Tafadhali watumie marafiki watakaopenda. |
Sauti za Busara 2022: Amplifying Women's Voices |
|
---|
|
Kila mwaka mwezi Februari, Sauti za Busara huonyesha uzoefu maridhawa kwa kuwaandalia watu kutoka sehemu mbalimbali duniani tukio adimu la kusheherekea muziki wa Afrika unaopigwa mubashara kwa asilimia 100%. Tamasha la 19 litarindima tena katika viunga vya Mji Mkongwe kuanzia tarehe 11 - 13 Februari 2022, likienda na kauli mbiu ‘Paza Sauti: Amplifying Women’s Voices’.
Tunafuraha kukutangaieni awamu ya kwanza ya wasanii na wengineo watatangazwa siku chache zijazo. Vilevile tamasha litaandaa semina na midahalo Movers & Shakers..
Tamasha linaandaliwa na Busara Promotions, taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa Zanzibar. Tunafuatilia kwa kariu sana hali ya gonjwa la uviko 19 ikiwa kipaumbele chetu cha mwanzo ni usalama wa afya za wageni wetu bila ya kusahau wanyeji. Hatua za ziada za kiusalama wa afya zitachukuliwa kuhakikisha zinavuka matarajio yako. FKwa taarifa zaidi, tembelea www.busaramusic.org.
Karibuni sana, na karibu katika tamasha rafiki ulimwenguni! |
|
---|
|
#SzB2022 Festival Line-up |
|
---|
|
SJAVA (South Africa), SITI & THE BAND (Zanzibar), MSAKI (South Africa), MAALLEM ABDELKEBIR MERCHANE (Morocco), DENDRI STAMBELI MOVEMENT (Tunisia), NADI IKHWAN SAFAA (Zanzibar), NOMFUSI (South Africa), FANIE FAYAR (Congo), SYLENT NQO (Zimbabwe), WAMWIDUKA BAND (Tanzania), SUZAN KERUNEN (Uganda), ALEKSAND SAYA (Reunion), JORDAN ADETUNJI (UK/Northern Ireland), EVANS 'PFUMELA' MAPFUMO (Zimbabwe), UPENDO MANASE (Tanzania), ZAN UBUNTU (Zanzibar),and more... |
|
---|
|
Angalia video na kujua zaidi wasanii www.busaramusic.org Kumbusho: kutokana na mashaka ya kiulimwengu (uviko-19) kwa sasa inawezekana orodha ya wasanii ikawa na madadiliko siku za mwisho. |
|
---|
|
|
Tiketi za Sauti za Busara 2022 zinapatikana mtandaoni. Punguzo maradufu linatolewa kwa wote watakaonunua tiketi kabla ya tarehe 31 Oktoba, kwa bei mahsusi kwa watanzania, watu wa Afrika Mashariki na wote wenye pasi za kusafiria za Afrika. Bei na kuwekesha tiketi yako, tembelea www.busaramusic.org/festivals/tickets/ |
|
---|
|
Je ni mara yako ya kwanza kuja Zanzibar? tembelea Info for Visitors
Kwa sasa, wageni wote (wageni wote chini ya umri wa miaka 5) wanahitajika kuwa na cheti cha kipimo cha uviko-19 (PCR) kuingia Tanzania. Majibu ya kipimo kuchukulia ndani ya masaa 72 kabla ya muda wa kuingia nchini. Majibu hasi (negative) ya uviko-19 hayatahitajika isipokuwa kama imesisitizwa na shirika la ndege au nchi husika unayotegemea kufikia. Taarifa hubadilika mara kwa mara kuzingatia na miongozo ya shirika la Afya Duniani. Kuwekesha nafasi ya kipimo, au kulipia kipimo na chanjo ya uviko-19, tembelea https://zanzibarcovidtesting.co.tz |
|
---|
|
Kuna nafasi chache sana kwa ajili ya wafanyabiashara ndani ya ukumbi wa tamasha, kuonyesha au kuuza bidhaa zako. Kipaumbele kitatolewa kwa watu wa Afrika Mashariki kwa wafanyabiashara wataoonyeesha bidhaa adhimu za Sanaa zinazotengenezwa nyumbani kama nguo, vinyago, muziki, vyakula na viburudisho. Kwa taarifa zaidi, tuma barua pepe [email protected] |
|
---|
|
Mwisho wa kufanya maombi ya vibali kwa vyombo vya habari 2 Januari 2022.
Usaili wa mapema ni lazima kwa vyombo vyote vya habari, hairuhusiwi kufanya maombi ukumbini.
Kuna aina tatu za vibali vya waandishi wa habari: Pasi ya mwandishi, Pasi ya kupiga picha na Pasi ya kuchukua Video. Tafadhali omba pasi ikufaayo, zingatia; si maombi yote yanaweza kukubaliwa.
Kuomba kibali cha uandishi wa habari, tembelea kwa taarifa zaidi
hapa. |
|
---|
|
Shukrani nyingi zimuendee MH. Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar kwa kusaidia kufanya kampeni ya kutafuta udhamini wa Sauti za Busara. |
|
---|
|
Wasiliana nasi kama unataka kudhamini tamasha namba moja Afrika Mashariki. Tunatoa fursa za matangazo kwa wadhamini wetu wote kwenye TV, radio na machapisho media coverage, promotion on YouTube, facebook, instagram na twitter, kwenye newsletters na photo galleries, kwa mahitaji ya vifurushi vya udhamini wa Sauti za Busara 2022, wasiliana na Meneja wa Tamasha: [email protected] Shukrani kwa wahisani na wadhamini kwa kusaidia Sauti za Busara 2022: |
|
---|
|
| WOMEX (the World Music Expo) |
WOMEX 21 will take place in Porto, Portugal from 27 - 31 October. It is the most international music meeting in the world and biggest conference of the global music scene, featuring a trade fair, talks, films and showcase concerts. Over 2,500 professionals from 90 countries attend each year, making WOMEX not only the number one networking platform for the world music industry, but also the most diverse music meeting worldwide. More info and registration: https://www.womex.com/ |
|
---|
|
|
Music In Africa's ACCES conference is the Continent's leading music trade event. The fourth edition will take place in Johannesburg, South Africa, from 25 to 27 November 2021. As well as a tantalising programme of live showcases, the event features panel discussions, presentations, exhibitions, pitch sessions, Q&A with prominent musicians and visits to key music industry hubs in the host city. For registration and more information, visit https://www.musicinafrica.net/acces |
|
---|
|
| Busara Promotions P O Box 3635 Stone Town Zanzibar, Tanzania Find us off the airport road, Maisara Tel: +255 24 223 2423 or +255 773 822 294 |
|
---|
|
Like and follow Sauti za Busara |
|
---|
|
Tafadhali watumie marafiki watakaopenda, ingiza barua pepe yako kwenye kibox www.busaramusic.org |
|
---|
|
|