MáDé KUTI & THE MOVEMENT (Nigeria), ZOë MODIGA (South Africa), SHOLO MWAMBA (Tanzania), SELMOR MTUKUDZI (Zimbabwe), STEWART SUKUMA & BANDA NKHUVU (Mozambique), SITI & THE BAND (Zanzibar), THE BROTHER MOVES ON (South Africa), WAKAZI (Tanzania), FLYING BANTU (Zimbabwe), DOGO FARA (Reunion), MARY ANIBAL (Zimbabwe), MUHONJA (Kenya), FRANCESCO NCHIKALA (DRC, Zambia), AFROPENTATONISM (Niger, Ethiopia), ITA & MEHDY (Algeria), WARRIORS FROM THE EAST BAND (Tanzania), ALIDDEKI BRIAN (Uganda), TAMIMU (Tanzania), SWAHILI ENCOUNTERS (Zanzibar / Various), MUBBA (Tanzania), SIBU MANAï (Reunion), LWENDO AFRIKA (Tanzania), ANUANG'A & MAASAI VOCALS (Kenya), BRAIN BOY (Zanzibar), AFRICULTURE (Tanzania) and more to be announced. | Toleo la 21 la Sauti za Busara, lenye mada la Moving Diversty, husherehekea muziki wa moja kwa moja kutoka kote barani Afrika, kutoka kwenye safu ya wasanii vijana na wasanii chipukizi. Msururu wa maonyesho ya kusisimua na ya kipekee yatafanyika Ngome Kongwe Zanzibar (Old Fort) kuanzia Ijumaa, Februari 9 hadi Jumapili, Februari 11, 2024. |
|