Muhonja
Country Kenya Genres band fusion traditional other Website www.musicinafrica.net Facebook /muhonja.music Instagram /muhonjamusic Festival Sauti za Busara 2024 Recordings 📼Unataka Nini, 2020; Kamulangu, 2021; Luwere, 2022; Naambakhane, 2022 Muhonja ni mwimbaji wa Kenya, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mpiga gitaa, mpiga percussion, na mwanaharakati wa kijamii.
Akiwa anatoka katika familia ya wanamuziki, msukumo wake wa kwanza ulikuwa kutoka kwa wazazi wake, ambao walimfundisha jinsi ya kupiga gitaa, na kukua zaidi na kuwa mchezaji wa kujitegemea wa Kalimba na Udu Drums.
Ndani kabisa ya muziki wake, anajumuisha nyimbo za Kiafrika, nyimbo za kiasili, na sala zinazochanganya muziki wa Kiafrika na aina kama vile jazz, blues, reggae, n.k. Anaandika zaidi kutokana na uzoefu wake wa maisha kama mwanamke.
Mada zake ni pamoja na Ukatili wa Kijinsia, ubakaji, ukeketaji, mimba za utotoni, na uwezeshaji wa wanawake, yote yaliyoandikwa na kuimbwa zaidi katika Kiluhya, Kiswahili, na mguso wa Kiingereza. Sio tu kwamba Muhonja ameshinda tuzo na sifa mbalimbali, bali pia amekonga nyoyo za wengi walioguswa na muziki wake.
2025 2024 2023 2022 2021 2020 2019 2018 2017 2015 2014 2013 2012 2011 2010 2009 2008 2007 2006 2005 2004
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Réunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava