Sofaz

Country
Festival
Sauti za Busara 2019
Recordings

Konsyans, 2017

Sofaz - Piton Doulèr - Live
Photo of Sofaz (view larger)
Sofaz

Read in English

Sofaz wanawakilisha kisiwa cha Reunion kwa kwa kutunga mashairi, kupiga nyimbo na kucheza, vilevile wantumia muziki kushea ndoto na hali halisi, hasira, matumaini na ubunifu. Muonekano wao juu ya jukwaa ni wenye kusisimua, wakichanganya muziki wa Maloya na Rege. Mara zote maonyesho yao hukufanya ucheze kuanzia mwanzo mpaka mwisho.