Capoeira Brazil Zanzibar

Country
Festival
Sauti za Busara 2015
Photo of Capoeira Brazil Zanzibar (view larger)
Capoeira Brazil Zanzibar

Read in English

Grupo Capoeira Brasil kiliundwa mwaka 1989 na Mestre Boneco, Mestre Paulinho Sabiá pamoja na Mestre Paulão Ceará. Grupo Capoeira Brasil hivi sasa limesambaa kimataifa wakiwa na makundi 1,300 na waalimu 400.

Capoeira Brasil Zanzibar linaongozwa na Mestre Juruna Mestre Biriba pamoja na Mestre Popoban. Wamekua wakifundisha vijana wakizanzibari katika chuo cha Dhow Countries Music Academy (DCMA), Chukwani Zanzibar Mjini pamoja na Chwaka, iliyopo pwani ya Mashariki.
Capoeira inafahmika kwa mabadiliko ya kasi na migumu, kutumia nguvu, kasi na uwezo wa kujiinua na kurusha mateke, kubinuka pamoja na mbinu nyingine tofauti za hali ya juu. Ni burudani sana pia kushiriki au kutazama tu.