Mapanya Band

Country
Festival
Sauti za Busara 2018, 2020
Recordings

Africa, Wasiwasi and Lingosa; 2017

Mapanya Band Live performance at Wikiendi Live
Photo of Mapanya Band (view larger)
Mapanya Band

Read in English

Mapanya band ni bendi yenye nguvu, vijana wenye vipaji na ni kikundi kilichoanza mnamo 2015, wanachama wake wote walikuwa wanafunzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar (DCMA- Dhow Countries Music Academy).

Wanapiga mchanganyiko wa kupendeza wa reggae, soul, ala za roho, r'n'b, hip-hop, muziki wa Kiarabu na taarab, na vidokezo vya mitindo ya muziki wa Kilatino na India. Wanabendi wote wanaimba, wanapiga ngoma, wanapiga gita na kucheza na pia nguvu waliyonayo lazima utainuka kwenye kiti kama ulikua umekaa wakati wakifanya onyesho.