Ambasa Mandela & the Last Tribe

Country
Festival
Sauti za Busara 2020
Recordings

Mdundiko, 2019; Mabawa, 2019

LOVE WILL RESCUE US
Photo of Ambasa Mandela & the Last Tribe (view larger)
Ambasa Mandela & the Last Tribe

Read in English

Muimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwanamuziki Ambasa Mandela maarufu kama Mandela, anajulikana kwa sauti yake ya kipekee na yenye nguvu, ujumbe katika muziki wake na kazi zake zenye nguvu za kutosha. Upekee wa sauti na uandinshi wake sio tu wa kihisia bali pia ni wa ajabu wenye kukufanya  uchachawe.