|
Nassor Amour Abdallah aka Cholo Ganun ndiye mwanzilishi na kiongozi wa Rahat Zamaan Taarab Orchestra. Anajulikana kwa talanta za kipekee za muziki na mchezaji mdogo kabisa wa ganuni katika Afrika Mashariki. Cholo ni Mkurugenzi wa Muziki katika Klabu ya Muziki ya Nadi Ikhwan Safaa Taarab. Mradi wake wa Rahat Zamaan Orchestra ni kundi dogo ambalo linamjumuisha muimbaji maarufu Muharam, mjukuu wa Siti bint Saad na wanamuziki wengine vijana na wenye vipaji Zanzibari.
|