Supa Kalulu
Supa Kalulu, akiibua maisha mapya katika muziki wa wahenga wa Zimbabwe kwa nyimbo asili.
Popote SUPA Kalulu anapocheza, hukonga nyoyo, watu huja wakicheza, na amani na furaha hutawala kwa kila mmoja.