Sinachuki Kidumbak
|
Makame Faki haitaji utambulisho mkubwa sana hasa Zanzibar, amekuwa msimamizi wa Klabu ya muziki wa tamaduni na mmoja wa waimbaji wa nyimbo za taarab anayejulikana sana. Pamoja na kundi lake mwenyewe la Sinachuki Kidumbak, pia ametumia miongo kadhaa kwenye muziki weye misingi ya visiwa vikuu. Kidumbak ni kama toleo jipya la taarab lenye kutumia sauti, violin, sanduku na ngoma ndogo. Akitambulika kwa uimbaji wake mashuhuri, Makame Faki aka 'sauti ya zege’ Sinachuki Kidumbak ni wakali muziki wa kidumbak. |

