Muthoni The Drummer Queen

Country
Festival
Sauti za Busara 2011
Recordings

Mambo Bado (2008)

The Human Condition (2010)

Photo of Muthoni The Drummer Queen (view larger)
Muthoni The Drummer Queen

Read in English

Mwanadada mtunzi na muimbaji mwanamashairi mpiga ngoma na mwanaharakati wa maswala ya kijamii Muthoni Ndonga alizaliwa na kukulia Nairobi nchini Kenya. Tayari keshafikiriwa kuwa nafasi ta uongozi katika anga za burudani na maswala ya kijamii Muziki wa Muthoni ni wa kibunifu ambao unachanganya mfuatano wa sauti za kimuziki na mwendo wakimuziki za kiafrika kwakutumia mifano ya kila siku ya jamii za kiafrikakwa kutumia lugha za kiingerenza, kikuyu na Kiswahili. Muthoni vilevile huchanganya mitindo mbalmbali katika muziki wake ikiwemo salsa kwaito, afrorock taarab,rap na R&B huu ni mseto wa kimuzikiinspired na mapenzi,mahusiano ya ndoa siasa na maswala ya kiroho wito wa mwanadada katika utunzi wake ni kazi yenye wito hope curiosty and courage na nguvu mseto wamuziki wakeuna blend tamaduni za kiafrika masharikina tamaduni za vijana wa kizazi kipya.