Bob Maghrib
Country Morocco Genres fusion reggae Website bobmaghrib.com Festival Sauti za Busara 2017 Recordings 📼 2012 So Much Trouble in the World (Single); 2013 Africa Unite (Single)
Bob Maghrib ni kikundi chenye mseto wa wanamuziki kilichoundwa mwaka 2011. Kikundi hichi kinakusanya wale wanamuziki chipukizi na wanawakilisha muziki wa kisasa wa Morocco. Wanaimba nyimbo za Bob Marley zile zenye ujumbe wakimapinduzi.
Waliunda kikundi hichi kusherehekea miaka 30 tangu kifo cha Bob Marley, japo kuwa yeye ametanguliambele ya haki lakini nyimbo na kazi zake bado zinatunzwa na kuheshimikaduniani kote. Muziki wao unakutanisha na kuchanganya mahadhi, ngoma na mashairi ya“Bob Marley and The Wailers”na muziki wenye asili ya Morocco. Jitihada kubwa inatumika kutobadilisha muziki wa Bob, bali kuhakikisha maadili haya mawili ya muziki yanaoana kwa vile asili ya miziki hii ni kutoka bara la Africa.
Baada ya kuwa ziarani nchini Morocco, Egypt, na Ulaya, Kikundi cha Bob Maghrib kimo kazini kuandaa albamu yao ambayo ni utunzi wao wenyewe. Albamu hii itachanganya nyimbo zenye mahadhi ya kimorocco kama “Gnawa” na “Berber”na muziki kutoka visiwa vya Jamaika.
with thanks to Africa Art Lines and Afrikayna
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava