Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: A - Z > H
Results: 1 to 1 of 7
Results: 1 to 1 of 7
HAJAmadagascar and The Groovy People
Country Madagascar France Austria Genres roots fusion Website www.hajamadagascar.com Festival Sauti za Busara 2014 Haja Madagascar ni bendi ambayo inaweza kuwapagawisha watazamaji kwa kipindi kifupi tu cha onyesho kutokana na mchanganyiko wa ala za muziki na ubunifu. Anasema " Muziki wetu unatuelezea asili yetu. Tunapenda utamaduni wetu lakini tunaishi katika miji mikubwa kwa sasa. Muziki wa asili na wa kisasa vinaweza kuwa pamoja kwa sababu asili haipotei." Bendi inamchanganyiko wa kimandhari kama kisiwa chenye wahamiaji wengi. Muziki wenye radha zote za Kimalagasi kama Salegy, Bahoejy, Antosy na Kilalaky, mipigo yote ni moto wa kuotea mbali katika mwambao wa Kusini Mashariki mwa Afrika.
With thanks to the Austrian Embassy Nairobi