Wakazi
Country Tanzania Genres jazz bongo flava hiphop jazz Website www.musicinafrica.net Facebook /wakazimusic Instagram /wakazi Festival Sauti za Busara 2020, 2024 Recordings 📼Abacus, 2014; Kisimani, 2018; Sauti za Busara 2020 (Live Album), 2021; Beberu: Reflections, 2023; Beberu: Declaration, 2023; Beberu: Affirmation, 2024 Kutoka Tanzania, Wakazi (Webiro Wassira) alihamia Marekani kwa ajili ya kutekeleza azimio la Ndoto yake, lakini mapenzi yake kwa muziki yalimfanya abadili muelekeo na malengo yake.
Akiwa amejitolea kusimamia ndoto yake na malengo kwa ustadi wa hali ya juu, kwa sasa akiwa nchini Tanzania, Wakazi anaonekana kuwa Balozi wa Hip Hop nchini Tanzania, akiwa na mtazamo wa kipekee unaotokana na historia yake tofauti na uwezo uliojengeka katika misingi ya utofauti wa kitamaduni aliojifunza katika nchi alizopata fursa kuishi.
Anapenda n ani mahiri katika masuala ya kiufundi katika muziki, ana mvuto wa kibiashara, na ana uwezo wa kushughulikia masuala ya kijamii na kisiasa.
Utofauti waka na umahiri katika tungo zenye mchanganyiko wa mashairi ya Kiingereza na Kiswahili ilimpa jina la “Bilingual Beast”.
Uwezo wake wa kuunda muktadha kwa matumizi ya busara ya sitiari na uchezaji wa maneno ni wa kipekee na usio na mlinganisho, ukionyesha uzoefu wake wa maisha ya kibinafsi na akili yake ya kutafakari.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava