Sauti za Busara 2026: Gender@Work Tanzania na Uwezeshaji wa Wanawake katika Muziki
By jembefmtz, February 8 2026
Sauti za Busara 2026 itajadili kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na kuhamasisha uongozi wa wanawake, pamoja na utekelezaji wa mipango ya kitaifa kama Tokomeza Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto… Sikiliza kwenye IGM
